\v 2 Vinywa vyetu vilijawa na vicheko na ndimi zetu zilijawa na kuimba; kisha wakasema kati ya mataifa, "Yahwe amewatendea mambo makuu." \v 3 Yahwe alitufanyia mambo makuu; nasi tumejaa furaha!