Thu May 11 2023 05:31:20 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
92adb55f9a
commit
ff2989ea27
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Inueni vichwa vyenu, ninyi malango; muinuliwe juu, milango ya milango ya kudumu, ili kwamba Mfalme wa utukufu aweze kuingia! \v 8 Huyu Mfalme wa utukufu ni nani? Yahwe, mwenye nguvu na uweza; Yahwe, mwenye uweza katika vita.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Inueni vichwa vyenu, ninyi malango; muinuliwe juu, milango ya kudumu, ili kwamba Mfalme wa utukufu aweze kuingia! \v 10 Huyu Mfalme wa utukufu ni nani? Yahwe wa majeshi, yeye ni Mfalme wa utukufu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 25 \v 1 Kwako, Yahwe, nayainua maisha yangu! \v 2 Mungu wangu, ninaamini katika wewe. Usiniache niaibishwe; usiwaache maadui zangu wafurahie ushindi wao kwangu. \v 3 Asiaibishwe mtu yeyote anaye kutumaini bali waaibishwe wale watendao hila bila sababu!
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v4 Unijulishe njia zako, Yahwe; unifundishe njia zako. 5 Uniongoze kwenye kweli yako na unifundishe, kwa kuwa wewe ni Mungu wa wokovu wangu; ninakutumainia wewe siku zote za maisha yangu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 25
|
|
@ -215,6 +215,10 @@
|
|||
"24-01",
|
||||
"24-03",
|
||||
"24-05",
|
||||
"24-07",
|
||||
"24-09",
|
||||
"25-title",
|
||||
"25-01",
|
||||
"41-title",
|
||||
"41-01",
|
||||
"41-04",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue