Wed May 10 2023 10:17:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 10:17:48 +03:00
parent 6e39df995d
commit fef91f9d8f
6 changed files with 10 additions and 0 deletions

1
64/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Wao wanahamasishana wenyewe katika kupanga uovu; wanashauriana pamoja wao wenyewe ili kuweka mitego; nao husema, "Ni nani atakayetuona?" \v 6 Wanabuni mipango ya dhambi; "Tumemaliza," wanasema, "Ni mpango makini." Mawazo ya ndani na mioyo ya watu ni ya kina.

1
64/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Lakini Mungu atawapinga wao; ghafla watajeruhiwa kwa mishale yake. \v 8 Watafanywa kuwa mashakani, kwa kuwa ndimi zao wenyewe ziko kinyume nao; wote wawaonao watatikisa vichwa vyao. \v 9 Watu wote wataogopa na kutangaza matendo ya Mungu. Kwa hekima watafikiria kuhusu kile yeye ametenda.

1
64/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Wenye haki watakuwa na furaha kuhusu Yahwe nao watakimbilia kwake; wote wenye haki moyoni watajivuna katika yeye.

1
65/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 65 \v 1 Kwako wewe, Mungu katika Sayuni, sifa zetu za kungoja; viapo vyetu vitaletwa kwako. \v 2 Wewe usikiaye maombi yetu, miili yote itakuja kwako. \v 3 Maovu yanatutawala sisi; kama yalivyo makosa yetu, wewe utayasamehe.

1
65/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 65

View File

@ -354,6 +354,11 @@
"64-title", "64-title",
"64-01", "64-01",
"64-03", "64-03",
"64-05",
"64-07",
"64-10",
"65-title",
"65-01",
"101-title", "101-title",
"101-01", "101-01",
"101-02", "101-02",