Wed May 10 2023 09:54:24 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
25e53f8e35
commit
fcc0fd76bd
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 2 Israeli ishangilie katika yeye aliyeiumba; watu wa Sayuni na washangilie katika mfalme wao. \v 3 Nao walisifu jina lake kwa kucheza; na wamuimbie sifa yeye kwa ngoma na kinubi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Kwa kuwa Yahwe hupata furaha katika watu wake; huwapa utukufu wanyeyekevu kwa wokovu. \v 5 Wacha Mungu waushangilie ushindi; nao waimbe kwa furaha vitandani mwao.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao na panga mbili zenye makali mkononi mwao \v 7 kutekeleza kisasi juu ya mataifa na matendo ya adhabu juu ya watu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 Nao watawafunga wafalme wao kwa minyororo na wakuu wao kwa pingu za chuma. Watatekeleza hukumu ambayo imeandikwa. \v 9 Hii itakuwa ni heshima kwa ajili ya watakatifu wake wote. Msifuni Yahwe.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 150
|
|
@ -578,6 +578,11 @@
|
|||
"148-11",
|
||||
"148-13",
|
||||
"149-title",
|
||||
"149-01"
|
||||
"149-01",
|
||||
"149-02",
|
||||
"149-04",
|
||||
"149-06",
|
||||
"149-08",
|
||||
"150-title"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue