Thu May 11 2023 05:41:21 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-11 05:41:21 +03:00
parent e544281a3a
commit f8a704f5e2
5 changed files with 7 additions and 0 deletions

1
27/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Kwa kuwa katika siku ya shida atanificha nyumbani mwake; atanificha katika mfuniko wa hema lake. Yeye ataniinua juu ya mwamba! \v 6 Kisha kichwa changu kitainuliwa juu ya maadui wote wanizungukao, nami nitatoa sadaka ya furaha hemani mwake! Nitaimba na kutunga nyimbo kwa Yahwe!

1
27/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Sikia, sauti yangu nikuitapo, Yahwe! Unihurumie, na unijibu! \v 8 Moyo wangu huongea kuhusu wewe, "Utafute uso wake!" Nami nautafuta uso wako, Yahwe!

1
27/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Usiufiche uso wako mbali na mimi; usinikasirikie mimi mtumishi wako! Wewe umekuwa msaada wangu; usiniache wala kunitelekeza, Mungu wa wokovu wangu! \v 10 Hata kama baba yangu na mama yangu wakiniacha, Yahwe utanitunza kwako.

1
27/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Unifundishe njia yako, Yahwe! Kwa sababu ya adui zangu uniongoze katika njia salama. \v 12 Usiwaache adui zangu wanifanyie watamanivyo, kwa sababu mashahidi wa uongo wameinuka kinyume namimi, nao wanapumua vurugu!

View File

@ -238,6 +238,9 @@
"27-01",
"27-02",
"27-04",
"27-05",
"27-07",
"27-09",
"41-title",
"41-01",
"41-04",