diff --git a/85/10.txt b/85/10.txt new file mode 100644 index 0000000..0e3fabb --- /dev/null +++ b/85/10.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 10 Uaminifu wa agano na uaminifu vimekutana pamoja; haki na amani vimebusiana. \v 11 Uaminifu unatoa chemichemi kutoka ardhini, na haki hutazama chini kutoka mawinguni. \ No newline at end of file diff --git a/85/12.txt b/85/12.txt new file mode 100644 index 0000000..73f35a2 --- /dev/null +++ b/85/12.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 12 Ndiyo, Yahwe atatoa baraka zake njema, na nchi itatoa mazao yake. \v 13 Haki itaenda mbele zake na kufanya njia kwa ajili ya nyayo zake. \ No newline at end of file diff --git a/86/01.txt b/86/01.txt new file mode 100644 index 0000000..9cfb14f --- /dev/null +++ b/86/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 86 \v 1 Sikia, Ee Yahwe, na unijibu, kwa kuwa mimi ni maskini na mnyonge. \v 2 Unilinde, maana mimi ni mwaminifu; Mungu wangu, umuokoe mtumishi wako anayekuamini. \ No newline at end of file diff --git a/86/03.txt b/86/03.txt new file mode 100644 index 0000000..bc87211 --- /dev/null +++ b/86/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Unihurumie, Bwana, maana ninakulilia wewe mchana kutwa. \v 4 Umfurahishe mtumishi wako, maana ni kwako, Bwana, ninaomba. \ No newline at end of file diff --git a/86/title.txt b/86/title.txt new file mode 100644 index 0000000..574bc7c --- /dev/null +++ b/86/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 86 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 0e76032..6431deb 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -566,6 +566,11 @@ "85-01", "85-03", "85-06", + "85-08", + "85-10", + "85-12", + "86-title", + "86-01", "101-title", "101-01", "101-02",