Wed May 10 2023 11:24:13 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
5b54aaaea9
commit
f494f5ad86
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 30 Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo na nitamtukuza yeye kwa shukrani. \v 31 Nitamsifu Yahwe zaidi kuliko ng'ombe au ndama aliye na mapembe na kwato.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 32 Wanyenyekevu wameona na kufurahi; ninyi mnao matafuta Mungu, mioyo yenu itiwe nguvu. \v 33 Maana Yahwe husikia wenye uhitaji naye hawadharau wafungwa wake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 34 Mbingu na nchi zimsifu yeye, bahari na vyote vitembeavyo majini. \v 35 Kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na ataujenga tena mji wa Yuda; watu wataishi huko na kupata umiliki wao. \v 36 Ukoo wa watumishi wake watairithi; nao walipendao jina lake wataishi humo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\c 70 \v 1 Uniokoe, Mungu! Yahwe, njoo haraka na unisaidie mimi. \v 2 Wale wajaribuo kuchukua uhai wangu waaibishwe na kufedheheshwa; warudishwe nyuma na wasiheshimiwe, wale wafurahiao katika maumivu yangu. \v 3 Warudishwe nyuma kwa sababu ya aibu yao, wale wasemao, "Aha, aha."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
Sura 70
|
|
@ -409,6 +409,11 @@
|
||||||
"69-24",
|
"69-24",
|
||||||
"69-26",
|
"69-26",
|
||||||
"69-28",
|
"69-28",
|
||||||
|
"69-30",
|
||||||
|
"69-32",
|
||||||
|
"69-34",
|
||||||
|
"70-title",
|
||||||
|
"70-01",
|
||||||
"101-title",
|
"101-title",
|
||||||
"101-01",
|
"101-01",
|
||||||
"101-02",
|
"101-02",
|
||||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue