Tue May 09 2023 21:36:47 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
79db157474
commit
f427243b32
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 15 Siku zote fedheha yangu iko mbele yangu, na aibu ya uso wangu imenifunika \v 16 kwa sababu ya sauti yake iliyo kemea na kutukana, kwa sababu ya adui na kisasi. \v 17 Yote haya yametupata sisi; bado hatukukusahau wewe wala kulikosea agano lako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 18 Mioyo yetu haikukengeuka; hatua zetu hazikuiacha njia yako. \v 19 Bali wewe umetuadhibu vikali katika mahali pa mbweha na kutufunika na uvuli wa mauti. \v 20 Ikiwa tumelisahau jina la Mungu wetu au kueneza mikono yetu kwa Mungu mgeni, \v 21 Mungu asingeligundua hili? Kwa maana yeye anazijua siri za moyo. \v 22 Hakika, kwa ajili ya jina lako tutauawa siku zote; tunahesabiwa kuwa kondoo kwa ajili ya kuchinjwa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 23 Bwana, amka, kwa nini unalala? Inuka, usitutupe moja kwa moja. \v 24 Kwa nini unaficha uso wako na kusahau mateso yetu na kukandamizwa kwetu?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
25 Kwa maana tumeyeyushwa kwenye mavumbi; miili yetu imeshikamana na ardhi. 26 Inuka utusaidie na utuokoe kwa ajili ya uaminifu wa agano lako.
|
|
@ -206,6 +206,9 @@
|
|||
"44-05",
|
||||
"44-07",
|
||||
"44-09",
|
||||
"44-12"
|
||||
"44-12",
|
||||
"44-15",
|
||||
"44-18",
|
||||
"44-23"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue