Wed May 10 2023 14:15:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 14:15:32 +03:00
parent 4fce1f1073
commit f11dcb72cb
6 changed files with 9 additions and 0 deletions

1
73/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Ni nani niliye naye mbinguni isipokuwa wewe? Hakuna nimtamaniye duniani isipokuwa wewe. \v 26 Mwili wangu na moyo wangu huwa dhaifu, bali Mungu ndiye nguvu ya moyo wangu daima.

1
73/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Wale walio mbali nawe wataangamia; utawaangamiza wote wasio waaminifu kwako. \v 28 Lakini mimi, linipasalo kufanya ni kumkaribia Mungu. Nimemfanya Bwana Yahwe kimbilio langu. Nami nitayatangaza matendo yako yote.

1
74/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 74 \v 1 Mungu, kwa nini umetukataa milele? Kwa nini hasira yako inawaka dhidi ya kondoo wa malisho yako? \v 2 Wafikirie watu wako, ambao uliwanunua siku nyingi zilizopita, kabila ambalo wewe umelikomboa liwe urithi wako, na Milima Sayuni, mahali uishipo.

1
74/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Uje utazame uharibifu kamili, uharibifu ambao umefanywa na adui mahali patakatifu.\v 4 Washindani wako walivamia katikati ya mahali pako maalum; walipandisha bendera zao za vita. 5 Walipakatakata kwa shoka kama katika msitu mnene. 6 Walipaharibu na kuvunja sanaa zote; walizivunja kwa shoka na nyundo.

1
74/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 74

View File

@ -448,6 +448,10 @@
"73-18",
"73-21",
"73-23",
"73-25",
"73-27",
"74-title",
"74-01",
"101-title",
"101-01",
"101-02",