Fri Apr 28 2023 16:41:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 16:41:35 +03:00
parent 80ceafa055
commit effb71e9e0
6 changed files with 10 additions and 1 deletions

1
110/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 110 \v 1 Yahwe humwambia bwana wangu, "Kaa mkono wangu wa kuume mpaka nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako."

1
110/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Yahwe atainyosha fimbo ya nguvu yako toka Sayuni; utawale kati ya adui zako. 3 Siku ile ya uweza wako watu wako watakufuata wakiwa katika mavazi matakatifu ya hiari yao wenyewe; tokea tumbo la alfajiri ujana wako utakuwa kwako kama umande. 4 Yahwe ameapa, na hatabadilika: "Wewe ni kuhani milele, baada ya namna ya Melkizedeki." 5 Bwana yuko mkono wako wa kuume. Siku ile ya hasira yake atawaua wafalme. 6 Yeye atahukumu matifa; ataujaza uwanja wa vita kwa maiti; atawauwa viongozi kaitka nchi nyingi. 7 Atakunywa maji ya kijito njiani, kisha baada ya ushindi atainua kichwa chake juu.

1
110/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 110

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Kazi za mikono yake ni za kuaminika na haki; maagizo yake yote ni ya kuaminika.\v 8 Yamethibitika milele, yamefanywa katika uaminifu na vizuri. \9 Aliwapa ushindi watu wake; aliliteuwa agano lake milele; jina lake ni takatifu na lakutisha. 10 Kumcha Yahwe ni mwanzo wa hekima; wale washikao maagizo yake wana uelewa mzuri. Sifa yake yadumu milele.
\v 7 Kazi za mikono yake ni za kuaminika na haki; maagizo yake yote ni ya kuaminika. \v 8 Yamethibitika milele, yamefanywa katika uaminifu na vizuri. \v 9 Aliwapa ushindi watu wake; aliliteuwa agano lake milele; jina lake ni takatifu na lakutisha.

1
111/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Kumcha Yahwe ni mwanzo wa hekima; wale washikao maagizo yake wana uelewa mzuri. Sifa yake yadumu milele.

View File

@ -119,7 +119,12 @@
"106-44",
"106-47",
"107-title",
"110-title",
"111-title",
"111-01",
"111-04",
"111-07",
"111-10",
"112-title",
"112-01",
"112-03",