Wed May 10 2023 15:51:49 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
57ea3e5d67
commit
eec44459bf
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 15 Lakini wewe, Bwana, ni mwenye huruma, na neema, hukasiriki haraka, na mwingi katika uaminifu wa agano lako na kweli. \v 16 Unigeukie na unihurumie, mpe nguvu zako mtumishi wako, umuokoe mwana wa mjakazi wako. \v 17 Unionyeshe ishara ya wema wako; kisha wale wanichukiao watauona, na kuaibishwa; kwa sababu yako; Yahwe, umenisaidia, na kunifariji.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 87 \v 1 Mji aliouanzisha umesimama juu ya mlima mtakatifu; \v 2 Yahwe anapenda zaidi malango ya Sayuni kuliko mahema yote ya Yakobo. \v 3 Mambo matukufu yamesemwa kwako, mji wa Mungu. Sela
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Ninataja Rahabu na Babeli kwa wafuasi wangu; tazama Filisti, na Tiro, pamoja na Ethiopia; nao watasema huyu alizaliwa humo.'"
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Itasemwa juu ya Sayuni, "Kila mmoja wa hawa alizaliwa katika yeye; na yeye aliye Juu atamuimarisha. \v 6 Yahwe anaandika, katika kitabu cha sensa ya mataifa, "Huyu alizaliwa humo." Sela
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 87
|
|
@ -575,6 +575,12 @@
|
|||
"86-05",
|
||||
"86-08",
|
||||
"86-10",
|
||||
"86-13",
|
||||
"86-15",
|
||||
"87-title",
|
||||
"87-01",
|
||||
"87-04",
|
||||
"87-05",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue