Wed May 10 2023 17:48:01 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
1145521361
commit
ed7a7d59b1
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 138 \v1 Nitakushukuru kwa moyo wangu wote; mbele ya miungu nitakuimbia sifa. 2 Nitasujudu mbele ya hekalu lako takatifu, na kulishukuru jina lako kwa ajili ya upendo wako na kwa uaminifu wako; kwa kuwa umelifanya muhimu zaidi neno lako na jina lako kuliko kitu chochote.
|
||||
\c 138 \v 1 Nitakushukuru kwa moyo wangu wote; mbele ya miungu nitakuimbia sifa. \v 2 Nitasujudu mbele ya hekalu lako takatifu, na kulishukuru jina lako kwa ajili ya upendo wako na kwa uaminifu wako; kwa kuwa umelifanya muhimu zaidi neno lako na jina lako kuliko kitu chochote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Siku ile niliyo kuita, ulinijibu; ulinitia moyo na kuitia nguvu nafsi yangu. \v 4 Wafalme wote wa nchi watakushukuru wewe, Yahwe maana watasikia maneno kutoka kinywani mwako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Hakika, wataimba kuhusu matendo ya Yahwe, kwa kuwa utukufu wa Yahwe ni mkuu. \v 6 Maana ingawa Yahwe yuko juu, lakini anawajali wanyenyekevu, lakini hawatambui wenye majivuno.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Nijapopita katikati ya hatari, wewe utauhifadhi uhai wangu; utanyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, na mkono wako wa kuume utaniokoa. \v 8 Yahwe yuko pamoja nami hadi mwisho; fadhili zako Yahwe, za dumu milele; usiwaache wale ambao mikono yako imewaumba.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 139 1 Ee Yahwe, wewe umenichunguza, na unanijua. 2 Wewe unajua nikaapo na niinukapo; unayajua mawazo yangu tokea mbali sana.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 139
|
|
@ -959,6 +959,11 @@
|
|||
"137-07",
|
||||
"137-08",
|
||||
"138-title",
|
||||
"138-01",
|
||||
"138-03",
|
||||
"138-05",
|
||||
"138-07",
|
||||
"139-title",
|
||||
"141-title",
|
||||
"141-01",
|
||||
"141-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue