Thu May 11 2023 05:39:24 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
9223a25d07
commit
e544281a3a
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 Lakini kwangu mimi, nitaenenda katika uadilifu; uniokoe na unihurumie. \v 12 Miguu yangu husimama sehemu salama; katika kusanyiko la watu nitambariki Yahwe!
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 27 \v 1 Yahwe ni nuru yangu na wokovu wangu; nimuogope nani? Yahwe ni salama ya maisha yangu; ni mhofu nani?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 2 Wakati waovu waliponijia kunila mwili wangu, wapinzani wangu na adui zangu walijikwaa na wakaanguka. \v 3 Ingawa jeshi hujipanga kupigana na mimi, moyo wangu hautaogopa; japo vita vijapo inuka kupigana nami hata hapo nitabaki kuwa jasiri.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Kitu kimoja nimekiomba kwa Yahwe, nami nitakitafuta hicho: kwamba niweze kukaa katika nyumba ya Yahwe siku zote za maisha yangu, kuutazama uzuri wa Yahwe na kutafakari hekaruni mwake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 27
|
|
@ -233,6 +233,11 @@
|
|||
"26-04",
|
||||
"26-06",
|
||||
"26-09",
|
||||
"26-11",
|
||||
"27-title",
|
||||
"27-01",
|
||||
"27-02",
|
||||
"27-04",
|
||||
"41-title",
|
||||
"41-01",
|
||||
"41-04",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue