Wed May 10 2023 05:13:36 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
ec438dddaa
commit
df5f771865
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Moabu ni bakuli langu la kunawia; nitatupa kiatu changu juu ya Edomu; nitapaza sauti katika ushindi kwa ajili ya Filisti. \v 10 Ni nani atakaye nipeleka kwenye mji imara? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?"
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 Ee Mungu, sio wewe uliyetukataa? Hauendi vitani na jeshi letu. \v 12 Utupe msaada dhidi ya adui yetu, maana msaada wa wanadamu ni bure. \v 13 Tutashinda kwa msaada wa Mungu; atawakanyaga kwa adui zetu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 109 \v 1 Zaburi ya Daudi. Mungu ninaye msifu, usinyamaze kimya. \v 2 Kwa maana waovu na wadanganyifu wananishambulia; wanazungumza uongo dhidi yangu. \v 3 Wananizunguka na kusema mambo ya chuki, na wananishambulia bila sababu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 109
|
|
@ -435,6 +435,10 @@
|
|||
"108-01",
|
||||
"108-03",
|
||||
"108-05",
|
||||
"108-07"
|
||||
"108-07",
|
||||
"108-09",
|
||||
"108-11",
|
||||
"109-title",
|
||||
"109-01"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue