Fri Apr 28 2023 15:31:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 15:31:29 +03:00
parent 910d811bd9
commit de2627e223
6 changed files with 9 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 85 Wenye kiburi wamenichimbia shimo, wasiotii sheria yako.\v 86 Amri zako zote ni za kuaminika; wale watu walinitesa bila ya haki; unisaidie. 87 karibu kunifanya nifikie mwisho juu ya nchi hii, lakini siyakatai maagizo yako. 88 Kwa upendo wako thabiti, uniweke hai, ili niweze kuzitii amri zako. LAMEDH. 89 Yahwe, neno lako linasimama milele; neno lako limefanywa imara mbinguni. 90 Uaminifu wako wadumu kwa ajili ya vizazi vyote; umeiimarisha nchi, nayo inadumu. 91 Vitu yote yaliendelea mpaka leo hii, kama vile ulivyosema katika amri zako za haki, maana vitu vyote ni watumishi wako. 92 Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningeangamia katika mateso yangu. 93 Sitayasahau kamwe maagizo yako, maana kupitia hayo umeniweka hai. 94 Mimi ni wako, kwa maana ninayatafuta maagizo yao. 95 Waovu hujiandaa kuniangamiza, lakini nitatafuta kuzielewa amri za agano lako. 96 Nimeona kuwa kila kitu kina mipaka, lakini amri zako ni pana, zaidi ya mipaka. MEM. 97 Oh ni jinsi gani naipenda sheria yako! Ni tafakari yangu mchana kutwa. 98 Amri zako hunifanya mwenye hekima kuliko adui zangu, maana amri zako siku zote ziko pamoja nami. 99 Ninauelewa zaidi kuliko walimu wangu wote, kwa maana ninazitafakari amri za agano lako. 100 Ninaelewa kuliko wale wanaonizidi umri; hii ni kwa sababu nimeyashika maagizo yako. 101 Nimeiepusha miguu yangu na kila njia ya uovu ili niweze kulitii neno lako.
\v 85 Wenye kiburi wamenichimbia shimo, wasiotii sheria yako. \v 86 Amri zako zote ni za kuaminika; wale watu walinitesa bila ya haki; unisaidie.

1
119/87.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 87 karibu kunifanya nifikie mwisho juu ya nchi hii, lakini siyakatai maagizo yako. \v 88 Kwa upendo wako thabiti, uniweke hai, ili niweze kuzitii amri zako. LAMEDH.

1
119/89.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 89 Yahwe, neno lako linasimama milele; neno lako limefanywa imara mbinguni. \v 90 Uaminifu wako wadumu kwa ajili ya vizazi vyote; umeiimarisha nchi, nayo inadumu.

1
119/91.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 91 Vitu yote yaliendelea mpaka leo hii, kama vile ulivyosema katika amri zako za haki, maana vitu vyote ni watumishi wako. \v 92 Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningeangamia katika mateso yangu.

1
119/93.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 93 Sitayasahau kamwe maagizo yako, maana kupitia hayo umeniweka hai. \v 94 Mimi ni wako, kwa maana ninayatafuta maagizo yao. 95 Waovu hujiandaa kuniangamiza, lakini nitatafuta kuzielewa amri za agano lako. 96 Nimeona kuwa kila kitu kina mipaka, lakini amri zako ni pana, zaidi ya mipaka. MEM. 97 Oh ni jinsi gani naipenda sheria yako! Ni tafakari yangu mchana kutwa. 98 Amri zako hunifanya mwenye hekima kuliko adui zangu, maana amri zako siku zote ziko pamoja nami. 99 Ninauelewa zaidi kuliko walimu wangu wote, kwa maana ninazitafakari amri za agano lako. 100 Ninaelewa kuliko wale wanaonizidi umri; hii ni kwa sababu nimeyashika maagizo yako. 101 Nimeiepusha miguu yangu na kila njia ya uovu ili niweze kulitii neno lako.

View File

@ -162,6 +162,10 @@
"119-79",
"119-81",
"119-83",
"119-85",
"119-87",
"119-89",
"119-91",
"120-title",
"120-01",
"120-03",