Sun Apr 23 2023 19:19:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-04-23 19:19:25 +03:00
parent 26af421d15
commit d782e55546
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
10/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Yeye husema katika moyo wake, "Mungu amesahau; huficha uso wake; hawezi kujishughulisha kutazama." \v 12 Inuka, Yahwe! Inua mkono wako, Mungu! Usiwasahau wanyonge.

1
10/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Kwa nini mtu mwovu anamkataa Mungu na kusema moyoni mwake, "Hautanipata katika hatia?" \v 14 Umeona, maana mara zote unaangalia mtu aletaye madhara na jeuri. Mtu asiye na msaada hukuachia nafsi yake; maana wewe huwaokoa yatima.

1
10/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Vunja mkono wa mwovu lo na mtu mbaya. Umuajibishe kwa matendo yake maovu, ambayo kwayo alifikiri hautayagundua. \v 16 Yahwe ni mfalme milele daima; mataifa yanaondolewa katika ardhi yake.

View File

@ -100,6 +100,8 @@
"10-01",
"10-04",
"10-06",
"10-08"
"10-08",
"10-11",
"10-13"
]
}