Wed May 10 2023 17:44:01 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
eaea62617e
commit
cc448854d2
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 21 Mshukuruni yeye aliyewapa nchi yao kama urithi, kwa maana fadhili zake za dumu milele. 22 Urithi wa Israeli mtumishi wake, kwa maana fadhili zake za dumu milele. 23 Yeye aliyetukumbuka na kutusaidia katika unyonge wetu, kwa maana fadhili zake za dumu milele.
|
||||
\v 21 Mshukuruni yeye aliyewapa nchi yao kama urithi, kwa maana fadhili zake za dumu milele. \v 22 Urithi wa Israeli mtumishi wake, kwa maana fadhili zake za dumu milele. \v 23 Yeye aliyetukumbuka na kutusaidia katika unyonge wetu, kwa maana fadhili zake za dumu milele.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 24 Mshukuruni yeye ambaye ametupa ushindi juu ya adui zetu, kwa maana fadhili zake za dumu milele. \v 25 Yeye awapaye chakula viumbe hai wote, kwa maana fadhili zake za dumu milele. \v 26 Mshukuruni Mungu wa mbinguni, kwa maana fadhili zake za dumu milele.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 137 \v 1 Kando ya mito ya Babeli tuliketi na tulilia tulipoikumbuka Sayuni. \v 2 Tulitundika vinubi vyetu kwenye miti ya Babeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Huko watekaji wetu walitaka tuwaimbie, na wale walio tudhihaki walitutaka sisi tufurahi, wakisema, "Tuimbieni moja ya nyimbo za Sayuni." \v 4 Tungewezaje kuimba wimbo unaomuhusu Yahwe katika nchi ya ugeni?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 137
|
|
@ -950,6 +950,10 @@
|
|||
"136-13",
|
||||
"136-16",
|
||||
"136-18",
|
||||
"136-21",
|
||||
"136-24",
|
||||
"137-title",
|
||||
"137-01",
|
||||
"141-title",
|
||||
"141-01",
|
||||
"141-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue