Thu May 11 2023 05:17:20 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
df4bd62a74
commit
c4e94613cb
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Kwa kuwa wewe unamletea baraka nyingi; wewe uliweka katika kichwa chake taji ya dhahabu iliyo safi kabisa. \v 4 Yeye alikuomba wewe maisha; ukampatia maisha; wewe ulimpatia maisha malefu milele na milele.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Yeye utukufu wake ni mkuu kwa sababu ya ushindi wako; wewe umemuwekea mapambo na enzi. \v 6 Kwa kuwa unampatia yeye baraka za kudumu; unamfurahisha kwa furaha ya uwepo wako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Kwa kuwa Mfalme humwamini Yahwe; kwa kupitia uaminifu wa agano la aliye juu zaidi yeye hataondolewa. \v 8 Mkono wako utawakamata adui zangu wote wote; mkono wako wa kuume utawakamata wale wote wanao kuchukia.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Wakati wa hasira yako, wewe utawachoma kama katika tanuru la moto. Yahwe atawamaliza wao katika hasira yake, na moto utawateketeza upesi wao. \v 10 Wewe utawaangamiza watoto wao duniani na ukoo wao kutoka katika mrorongo wa wanadamu.
|
|
@ -184,6 +184,10 @@
|
|||
"20-09",
|
||||
"21-title",
|
||||
"21-01",
|
||||
"21-03",
|
||||
"21-05",
|
||||
"21-07",
|
||||
"21-09",
|
||||
"41-title",
|
||||
"41-01",
|
||||
"41-04",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue