Wed May 10 2023 17:09:59 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
5cd9577071
commit
b9237d75c8
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 123 1 Nakuinulia macho yangu, wewe uketiye mbinguni.\v 2 Tazama, kama vile macho ya watumishi watazamapo kwenye mkono wa Bwana wao, na kama macho ya mjakazi yatazamapo mkono wa bibi yake, ndivyo hivyo macho yetu yanamtazama Yahwe mpaka atakapo tuhurumia.
|
||||
\c 123 \v 1 Nakuinulia macho yangu, wewe uketiye mbinguni. \v 2 Tazama, kama vile macho ya watumishi watazamapo kwenye mkono wa Bwana wao, na kama macho ya mjakazi yatazamapo mkono wa bibi yake, ndivyo hivyo macho yetu yanamtazama Yahwe mpaka atakapo tuhurumia.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Ee Yahwe, utuhurumie, kwa maana tunadhalilishwa sana. \v 4 Tumeshibishwa mzaha wa wenye kiburi na dharau ya wenye majivuno.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 124 \v 1 "Kama Yahwe asingekuwa upande wetu," Israeli na aseme sasa, \v 2 "Kama asingekuwa Yahwe ambaye alikuwa upande wetu, wakati watu walipoinuka dhidi yetu; \v 3 basi wangekuwa wametumeza tungali hai, hasira yao ilipozidi dhidi yetu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Maji yangetugharikisha; mto ungetuzidia. \v 5 Kisha maji yafurikayo yangetuzamisha."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 124
|
|
@ -884,6 +884,11 @@
|
|||
"122-06",
|
||||
"122-08",
|
||||
"123-title",
|
||||
"123-01",
|
||||
"123-03",
|
||||
"124-title",
|
||||
"124-01",
|
||||
"124-04",
|
||||
"141-title",
|
||||
"141-01",
|
||||
"141-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue