Thu May 11 2023 05:45:21 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
3ae7806cd3
commit
b6d8c1f69f
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 6 Abarikiwe Yahwe kwa sababu yeye amesikia sauti ya kusihi kwangu!\v 7 Yahwe ni nguvu yangu na ngao yangu; moyo wangu wa humwamini yeye, na ninasaidiwa. Kwa hiyo moyo wangu hufurahia sana, nami nitamsifu yeye kwa kuimba.\v 8 Yahwe ni nguvu ya watu wake, naye ni mkombozi salama wa wapakwa mafuta wake.
|
||||
\v 6 Abarikiwe Yahwe kwa sababu yeye amesikia sauti ya kusihi kwangu! \v 7 Yahwe ni nguvu yangu na ngao yangu; moyo wangu wa humwamini yeye, na ninasaidiwa. Kwa hiyo moyo wangu hufurahia sana, nami nitamsifu yeye kwa kuimba. \v 8 Yahwe ni nguvu ya watu wake, naye ni mkombozi salama wa wapakwa mafuta wake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Uwaokoe watu wako na uwabariki warithi wako. Uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 29 \v 1 Mpeni sifa Yahwe, enyi wana wa Mungu! Mpeni sifa Yahwe kwa ajili ya utukufu wake na nguvu. \v 2 Mpeni Yahwe utukufu ambao jina lake linastahili. Mpigieni magoti Yahwe katika mapambo ya utakatifu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Sauti ya Yahwe imesikika zaidi ya maji; Mungu wa radi ya utukufu, radi yaYahwe i juu ya maji mengi. \v 4 Sauti ya Yahwe ina nguvu; sauti ya Yahwe ni kuu. \v 5 Sauti ya Yahwe huivunja mierezi; Yahwe huivunja vipande vipande mierezi ya Lebanon.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Yeye huifanya Lebanoni kuruka kama ndama wa ng'ombe na Sirioni kama mwana wa nyati.\v 7 Sauti ya Yahwe hutoa miale ya moto. 8 Sauti ya Yahwe hutetemesha Jangwa; Yahwe hutetemesha jangwa la Kadeshi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 29
|
|
@ -246,6 +246,11 @@
|
|||
"28-title",
|
||||
"28-01",
|
||||
"28-03",
|
||||
"28-06",
|
||||
"28-09",
|
||||
"29-title",
|
||||
"29-01",
|
||||
"29-03",
|
||||
"41-title",
|
||||
"41-01",
|
||||
"41-04",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue