Sun Apr 23 2023 18:29:16 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-04-23 18:29:16 +03:00
parent d25f7db8d2
commit b4019c3fb7
4 changed files with 7 additions and 1 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 1 \v 1 Amebarikiwa mtu yule asiye enenda katika ushauri wa waovu, au kusimama katika njia ya wenye dhambi, au kukaa katika kusanyiko la wenye mizaha. \v 2 Bali yeye huifurahia sheria ya Yahwe, na huitafakari sheria yake mchana na usiku.

1
01/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Atakuwa kama mti uliopandwa karibu na mkondo wa maji ambao huzaa matunda yake kwa majira yake, ambao majani yake hayakauki; lolote afanyalo litafanikiwa.

1
01/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 1

View File

@ -36,6 +36,9 @@
"embracekenya"
],
"finished_chunks": [
"front-title"
"front-title",
"01-title",
"01-01",
"01-03"
]
}