Fri Apr 28 2023 13:09:06 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 13:09:07 +03:00
parent cc25c5e079
commit ad676b8abe
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 \v 14 \v 15 \v 16 14 Maana watumishi wako wameyaridhia mawe yake pendwa na kuyaonea huruma mavumbi ya magofu yake. 15 Mataifa wataliheshimu jina lako, Yahwe, na wafalme wote wa nchi watauheshimu utukufu wako. 16 Yahwe ataijenga tena Sayuni na ataonekana katika utukufu wake. 17 Wakati huo, atajibu maombi ya fukara; hatayakataa maombi yao. 18 Hii itaandikwa kwa ajili ya vizazi vijavyo, na watu ambao bado hawajazaliwa watamsifu Yahwe. 19 Maana ametazama chini toka mahali pa juu patakatifu; 20 Toka mbinguni Yahwe ameiangalia nchi, ili kusikia kuugua kwa wafungwa, kuwafungua waliohukumiwa kufa. 21 Kisha watu watalitangaza jina la Yahwe katika Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu 22 pindi mataifa na falme watakapokusanyika pamoja kumtumikia Yahwe. 23 Amechukua nguvu zangu katikati ya siku zangu za kuishi, amezifupisha siku zangu. 24 Nilisema, "Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; wewe uko hapa hata kizazi chote.
\v 13 Wewe utasimama na kuirehemu Sayuni. Sasa ni wakati wa mkurehemu yeye. Wakati ulio teuliwa umefika \v 14 Maana watumishi wako wameyaridhia mawe yake pendwa na kuyaonea huruma mavumbi ya magofu yake. \v 15 Mataifa wataliheshimu jina lako, Yahwe, na wafalme wote wa nchi watauheshimu utukufu wako. \v 16 Yahwe ataijenga tena Sayuni na ataonekana katika utukufu wake.

1
102/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Wakati huo, atajibu maombi ya fukara; hatayakataa maombi yao. \v 18 Hii itaandikwa kwa ajili ya vizazi vijavyo, na watu ambao bado hawajazaliwa watamsifu Yahwe.

1
102/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Maana ametazama chini toka mahali pa juu patakatifu; \v 20 Toka mbinguni Yahwe ameiangalia nchi, ili kusikia kuugua kwa wafungwa, kuwafungua waliohukumiwa kufa.

1
102/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
21 Kisha watu watalitangaza jina la Yahwe katika Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu 22 pindi mataifa na falme watakapokusanyika pamoja kumtumikia Yahwe. 23 Amechukua nguvu zangu katikati ya siku zangu za kuishi, amezifupisha siku zangu. 24 Nilisema, "Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; wewe uko hapa hata kizazi chote.

View File

@ -47,6 +47,9 @@
"102-05",
"102-07",
"102-09",
"102-11"
"102-11",
"102-13",
"102-17",
"102-19"
]
}