Wed May 10 2023 03:57:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 03:57:27 +03:00
parent ed7492cc2c
commit a5e5e54e77
6 changed files with 10 additions and 1 deletions

1
56/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wakati nina woga, nitaweka imani yangu katika wewe. \v 4 Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu - nimeweka imani yangu katika Mungu; sitaogopa; mtu wa kawaida atanifanya nini?

1
56/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Muda wote wanayageuza maneno yangu; mawazo yao yote yako kinyume na mimi kwa ajili ya uovu. \v 6 Wanajikusanya kwa pamoja, wanajificha wenyewe, na kuzifuatilia hatua zangu, wakisubiri kuniua.

1
56/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Usiwaache waikimbie adhabu yako kwa ajili ya uovu wao. Uwaangushe watu chini katika hasira yako, Mungu. \v 8 Wewe unahesabu kutangatanga kwangu na kuweka machozi yangu kwenye chupa yako; je, hayako kitabuni mwako?

1
56/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Ndipo maadui zangu watakimbia katika siku ile nikuitapo wewe; hili najua, kwamba Mungu yupo kwa ajili yangu. \v 10 Katika Mungu ambaye neno lake ninalisifu, katika Yahweh ambaye neno lake ninalisifu, \v 11 katika Mungu ninaamini, sitaogopa. Yeyote atanifanya nini?

1
56/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
12 Wajibu wa kutimiza viapo vyangu kwako uko juu yangu, Mungu; nitatoa sadaka ya shukrani. 13 Kwa kuwa umeokoa uhai wangu na mauti; umezuia miguu yangu isianguke, ili kwamba niweze kutembea mbele ya Mungu katika nuru ya uhai.

View File

@ -297,6 +297,10 @@
"55-20",
"55-22",
"56-title",
"56-01"
"56-01",
"56-03",
"56-05",
"56-07",
"56-09"
]
}