Fri Apr 28 2023 13:23:07 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
92f1e907dd
commit
9fbca9018a
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 104 \v 1 Nitamsifu Yahwe maisha yangu yote, Ewe Yahwe Mungu wangu, wewe ni mkubwa sana; umevikwa kwa utukufu na enzi. 2 Unajifunika mwenyewe kwa nuru kama kwa mavazi; umetandaza mbingu kama pazia za hema. 3 Umeweka mawinguni mihimili ya vyumba vyako; huyafanya mawingu gari lako; hutembea juu ya mbawa za upepo. 4 Yeye huufanya upepo kuwa wajumbe wake, miale ya moto kuwa watumishi wake. 5 Aliiweka misingi ya nchi, nayo haitahamishwa kamwe. 6 Wewe uliifunika nchi kwa maji kama kwa mavazi; maji yalifunika milima. 7 Kukemea kwako kulifanya maji kupungua; kwa sauti ya radi yako yakaondoka kasi. 8 Milima iliinuka, na mabonde yakaenea mahali ambapo wewe ulikwisha pachagua kwa ajili yao. 9 Umeweka mipaka kwa ajili yao ambao hayawezi kuupita; hayawezi kuifunika nchi tena. 10 Yeye alifanya chemchemi kutiririsha maji mabondeni; mito kutiririka katikati ya milima. 11 Inasambaza maji kwa ajili ya wanyama wote wa shambani; punda wa porini hukata kiu yao.
|
||||
\c 104 \v 1 Nitamsifu Yahwe maisha yangu yote, Ewe Yahwe Mungu wangu, wewe ni mkubwa sana; umevikwa kwa utukufu na enzi. \v 2 Unajifunika mwenyewe kwa nuru kama kwa mavazi; umetandaza mbingu kama pazia za hema. \v 3 Umeweka mawinguni mihimili ya vyumba vyako; huyafanya mawingu gari lako; hutembea juu ya mbawa za upepo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Yeye huufanya upepo kuwa wajumbe wake, miale ya moto kuwa watumishi wake. 5 Aliiweka misingi ya nchi, nayo haitahamishwa kamwe. 6 Wewe uliifunika nchi kwa maji kama kwa mavazi; maji yalifunika milima. 7 Kukemea kwako kulifanya maji kupungua; kwa sauti ya radi yako yakaondoka kasi. 8 Milima iliinuka, na mabonde yakaenea mahali ambapo wewe ulikwisha pachagua kwa ajili yao. 9 Umeweka mipaka kwa ajili yao ambao hayawezi kuupita; hayawezi kuifunika nchi tena. 10 Yeye alifanya chemchemi kutiririsha maji mabondeni; mito kutiririka katikati ya milima. 11 Inasambaza maji kwa ajili ya wanyama wote wa shambani; punda wa porini hukata kiu yao.
|
|
@ -64,6 +64,7 @@
|
|||
"103-14",
|
||||
"103-17",
|
||||
"103-20",
|
||||
"104-title"
|
||||
"104-title",
|
||||
"104-01"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue