Wed May 10 2023 04:27:30 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 04:27:31 +03:00
parent 993bd5b8bf
commit 97f9cc5e0a
6 changed files with 10 additions and 1 deletions

1
103/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Lakini agano la uaminifu wa Yahwe uko kwa wale wamchao yeye milele hata milele. Haki yake ni endelevu kwa uzao wao. \v 18 Wanashika agano lake na kukumbuka kutii maagizo yake. \v 19 Yahwe ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, na ufalme wake watawala juu ya kila mtu.

1
103/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Msifuni Yahwe, enyi malaika zake, ninyi hodari wenye nguvu na mtendao neno lake, na kutii sauti ya neno lake. \v 21 Msifuni Yahwe, enyi jeshi la malaika wote, ninyi ni watumishi mfanyao mapenzi yake. \v 22 Msifuni Yahwe, viumbe wake wote, mahali popote atawalapo. Nitamsifu Yahwe maisha yangu yote.

1
104/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 104 \v 1 Nitamsifu Yahwe maisha yangu yote, Ewe Yahwe Mungu wangu, wewe ni mkubwa sana; umevikwa kwa utukufu na enzi. \v 2 Unajifunika mwenyewe kwa nuru kama kwa mavazi; umetandaza mbingu kama pazia za hema. \v 3 Umeweka mawinguni mihimili ya vyumba vyako; huyafanya mawingu gari lako; hutembea juu ya mbawa za upepo.

1
104/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Yeye huufanya upepo kuwa wajumbe wake, miale ya moto kuwa watumishi wake. 5 Aliiweka misingi ya nchi, nayo haitahamishwa kamwe

1
104/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 104

View File

@ -358,6 +358,10 @@
"103-06",
"103-09",
"103-11",
"103-14"
"103-14",
"103-17",
"103-20",
"104-title",
"104-01"
]
}