Thu May 11 2023 09:12:36 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-11 09:12:37 +03:00
parent 0781a2fbbb
commit 947f263df7
6 changed files with 9 additions and 0 deletions

1
34/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Simba wadogo wakati mwingine hukosa chakula na kuteseka kwa njaa, bali wale wamtafutao Yahwe hawatapungukiwa chochote kilicho kizuri. \v 11 Njoni, wana, mnisikilize mimi. nitawafundisha ninyi hofu ya Yahwe.

1
34/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Mtu nani aliyepo ambaye anatamani maisha na anapenda kuwa na siku nyingi, ili kwamba aweze kuona vizuri? \v 13 Hivyo uepushe ulimi wako na uovu na uilinde midomo yako kuongea uongo. \v 14 Uache uovu na utende mema. Uitafute amani na kuiendea amani.

1
34/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Macho ya Yahwe yako kwenye haki na masikio yake huelekea kulia kwao. \v 16 Uso wa Yahwe uko kinyume na wale watendao uovu, kuikatilia mbali kumbukumbu yao duniani. \v 17 Wenye haki hulia na Yahwe husikia na kuwaokoa kwenye matatizo yao yote.

1
34/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Yahwe yu karibu nao waliovunjika moyo, naye huwaokoa waliogandamizwa rohoni. \v 19 Mateso ya wenye haki ni mengi, bali Yahwe huwaokoa nayo yote. \v 20 Yeye huitunza mifupa yake yote, hakuna hata mmoja wao utavunjika.

1
34/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 \v 22 21 Uovu utawauwa waovu. Wale wachukiao haki watahukumiwa. 22 Yahwe huokoa maisha ya watumishi wake. Hakuna atakaye hukumiwa hata mmoja atafutaye usalama katika yeye.

View File

@ -294,6 +294,10 @@
"34-02",
"34-04",
"34-07",
"34-10",
"34-12",
"34-15",
"34-18",
"41-title",
"41-01",
"41-04",