Fri Apr 28 2023 13:19:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 13:19:08 +03:00
parent a5777c7a91
commit 92f1e907dd
5 changed files with 9 additions and 1 deletions

1
103/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Lakini agano la uaminifu wa Yahwe uko kwa wale wamchao yeye milele hata milele. Haki yake ni endelevu kwa uzao wao. \v 18 Wanashika agano lake na kukumbuka kutii maagizo yake. \v 19 Yahwe ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, na ufalme wake watawala juu ya kila mtu.

1
103/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Msifuni Yahwe, enyi malaika zake, ninyi hodari wenye nguvu na mtendao neno lake, na kutii sauti ya neno lake. \v 21 Msifuni Yahwe, enyi jeshi la malaika wote, ninyi ni watumishi mfanyao mapenzi yake. \v 22 Msifuni Yahwe, viumbe wake wote, mahali popote atawalapo. Nitamsifu Yahwe maisha yangu yote.

1
104/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 104 \v 1 Nitamsifu Yahwe maisha yangu yote, Ewe Yahwe Mungu wangu, wewe ni mkubwa sana; umevikwa kwa utukufu na enzi. 2 Unajifunika mwenyewe kwa nuru kama kwa mavazi; umetandaza mbingu kama pazia za hema. 3 Umeweka mawinguni mihimili ya vyumba vyako; huyafanya mawingu gari lako; hutembea juu ya mbawa za upepo. 4 Yeye huufanya upepo kuwa wajumbe wake, miale ya moto kuwa watumishi wake. 5 Aliiweka misingi ya nchi, nayo haitahamishwa kamwe. 6 Wewe uliifunika nchi kwa maji kama kwa mavazi; maji yalifunika milima. 7 Kukemea kwako kulifanya maji kupungua; kwa sauti ya radi yako yakaondoka kasi. 8 Milima iliinuka, na mabonde yakaenea mahali ambapo wewe ulikwisha pachagua kwa ajili yao. 9 Umeweka mipaka kwa ajili yao ambao hayawezi kuupita; hayawezi kuifunika nchi tena. 10 Yeye alifanya chemchemi kutiririsha maji mabondeni; mito kutiririka katikati ya milima. 11 Inasambaza maji kwa ajili ya wanyama wote wa shambani; punda wa porini hukata kiu yao.

1
104/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 104

View File

@ -60,6 +60,10 @@
"103-03", "103-03",
"103-06", "103-06",
"103-09", "103-09",
"103-11" "103-11",
"103-14",
"103-17",
"103-20",
"104-title"
] ]
} }