Thu May 11 2023 17:19:24 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
51597fd26a
commit
87fa701fa7
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 40 \v 1 Nalimungoja Yahwe kwa uvumilivu; alinisikia na kusika kilio changu. \v 2 Yeye akanitoa nje ya shimo la kutisha, nje ya matope, naye aliiweka miguu yangu juu ya mwamba na kuzifanya hatua zangu salama.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Yeye ameweka wimbo mpya mdomoni mwangu, sifa kwa Mungu. Wengi watauona na kumheshimu yeye na kumwamini Yahwe. \v 4 Amebarikiwa mtu yule ambaye humfanya Yahwe tumaini lake naye hathamini majivuno wala wale wanaokengeuka kwa uongo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Yahwe Mungu wangu, matendo ya ajabu ambayo wewe umeyafanya, ni mengi, na mawazo yako yatuhusuyo sisi hayahesabiki; Ikiwa ningetangaza na kuyazungumza kwao, ni mengi sana hayahesabiki. \v 6 Wewe haufurahishwi katika sadaka au matoleo, bali wewe umeyafungua masikio yangu; wala haukuhitaji sadaka ya kuteketeza au sadaka ya dhambi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Ndipo nilisema mimi, "Tazama, nimekuja; imeandikwa kuhusu mimi katika kitabu cha hati. \v 8 Ninafurahia kuyafanya mapenzi yako, Mungu wangu; sheria zako ziko moyoni mwangu." \v 9 Katika kusanyiko kubwa nimetangaza habari njema ya haki yako; Yahwe, wewe unajua sikuizuia midomo yangu.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
Su
|
||||
Sura 40
|
|
@ -357,6 +357,11 @@
|
|||
"39-08",
|
||||
"39-10",
|
||||
"39-12",
|
||||
"40-title",
|
||||
"40-01",
|
||||
"40-03",
|
||||
"40-05",
|
||||
"40-07",
|
||||
"41-title",
|
||||
"41-01",
|
||||
"41-04",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue