From 860299f869a5e346c8b99c6e2bb47e80cfd497a1 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Fri, 12 May 2023 12:42:11 +0300 Subject: [PATCH] Fri May 12 2023 12:42:11 GMT+0300 (East Africa Time) --- 119/87.txt | 1 + 119/89.txt | 1 + 119/91.txt | 1 + 119/93.txt | 1 + manifest.json | 4 ++++ 5 files changed, 8 insertions(+) create mode 100644 119/87.txt create mode 100644 119/89.txt create mode 100644 119/91.txt create mode 100644 119/93.txt diff --git a/119/87.txt b/119/87.txt new file mode 100644 index 0000000..bec64a2 --- /dev/null +++ b/119/87.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 87 karibu kunifanya nifikie mwisho juu ya nchi hii, lakini siyakatai maagizo yako. \v 88 Kwa upendo wako thabiti, uniweke hai, ili niweze kuzitii amri zako. \ No newline at end of file diff --git a/119/89.txt b/119/89.txt new file mode 100644 index 0000000..ca86b06 --- /dev/null +++ b/119/89.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 89 Yahwe, neno lako linasimama milele; neno lako limefanywa imara mbinguni. \v 90 Uaminifu wako wadumu kwa ajili ya vizazi vyote; umeiimarisha nchi, nayo inadumu. \ No newline at end of file diff --git a/119/91.txt b/119/91.txt new file mode 100644 index 0000000..cee87ef --- /dev/null +++ b/119/91.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 91 Vitu yote yaliendelea mpaka leo hii, kama vile ulivyosema katika amri zako za haki, maana vitu vyote ni watumishi wako. \v 92 Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningeangamia katika mateso yangu. \ No newline at end of file diff --git a/119/93.txt b/119/93.txt new file mode 100644 index 0000000..3c35a18 --- /dev/null +++ b/119/93.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 93 Sitayasahau kamwe maagizo yako, maana kupitia hayo umeniweka hai. \v 94 Mimi ni wako, kwa maana ninayatafuta maagizo yao. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 8573e62..b90d7e6 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -1096,6 +1096,10 @@ "119-81", "119-83", "119-85", + "119-87", + "119-89", + "119-91", + "119-93", "120-title", "120-01", "120-03",