Fri Apr 28 2023 14:29:20 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 14:29:21 +03:00
parent 85b0ee779e
commit 83e118ec26
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 32 Pia walimkasirisha Yahwe penye maji ya Meriba, na Musa aliteseka kwa ajili yao. \v 33 Walimghadhabisha Musa naye akaongea haraka. 34 Hawakuyaharibu mataifa kama Yahwe alivyowaamuru, 35 bali walichangamana na mataifa na walijifunza njia zao 36 nao waliabudu sanamu, nazo zikawa mtego kwao. 37 Waliwatoa wana wao na binti zao kwa mapepo. 38 Walimwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana na binti zao, ambao waliwatoa kama dhabihu kwa sanamu za Kanaani, waliinajisi nchi kwa damu. 39 Walinajisiwa kwa matendo yao; katika matendo yao walikuwa kama malaya. 40 Hivyo Yahwe aliwakasilikia watu wake, akawadharau watu wake mwenyewe. 41 Akawaruhusu mataifa, na wale walio wachukia wakawatawala. 42 Maadui zao wakawaonea, wakatiishwa chini ya mamlaka yao. 43 Mara nyingi alienda kuwasaidia, lakini waliendelea kuasi nao walishushwa chini kwa dhambi zao wenyewe. 44 Hata hivyo, aliiangalia dhiki yao aliposikia kilio chao kwa ajili ya msaada. 45 Alikumbuka agano lake pamoja nao na alijirudi kwa sababu ya upendo wake thabiti. 46 Aliwafanya wote waliowateka wawahurumie.
\v 36 \v 32 Pia walimkasirisha Yahwe penye maji ya Meriba, na Musa aliteseka kwa ajili yao. \v 33 Walimghadhabisha Musa naye akaongea haraka. \v 34 Hawakuyaharibu mataifa kama Yahwe alivyowaamuru, \v 35 bali walichangamana na mataifa na walijifunza njia zao nao waliabudu sanamu, nazo zikawa mtego kwao.

1
106/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 nao waliabudu sanamu, nazo zikawa mtego kwao. 37 Waliwatoa wana wao na binti zao kwa mapepo. 38 Walimwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana na binti zao, ambao waliwatoa kama dhabihu kwa sanamu za Kanaani, waliinajisi nchi kwa damu. 39 Walinajisiwa kwa matendo yao; katika matendo yao walikuwa kama malaya. 40 Hivyo Yahwe aliwakasilikia watu wake, akawadharau watu wake mwenyewe. 41 Akawaruhusu mataifa, na wale walio wachukia wakawatawala. 42 Maadui zao wakawaonea, wakatiishwa chini ya mamlaka yao. 43 Mara nyingi alienda kuwasaidia, lakini waliendelea kuasi nao walishushwa chini kwa dhambi zao wenyewe. 44 Hata hivyo, aliiangalia dhiki yao aliposikia kilio chao kwa ajili ya msaada. 45 Alikumbuka agano lake pamoja nao na alijirudi kwa sababu ya upendo wake thabiti. 46 Aliwafanya wote waliowateka wawahurumie.