Wed May 10 2023 11:32:16 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
41ccfecf0e
commit
80785696cb
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 23 Midomo yangu itapiga kelele kwa sababu ya furaha wakati nikikuimbia sifa, hata kwa roho yangu, ambayo wewe umeikomboa. \v 24 Ulimi wangu pia utaongea kuhusu haki yangu mchana kutwa; maana wameaibishwa na kuvurugwa, wale waliotafuta kuniumiza.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 72 \v 1 Mpe mfalme amri ya haki yako, Mungu, haki yako kwa wana wa mfalme. \v 2 Naye awaamue watu wako kwa haki na maskini wako kwa haki sawa. \v 3 Milima iwazalie watu amani; vilima navyo vizae haki.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Naye awahukumu watu maskini; awaokoe watoto wa wahitaji na kuwavunja vipande vipande wenye kuwatesa. \v 5 Na wakuheshimu wewe wakati wa jua, na kwa kipindi cha kudumu kwa mwezi katika vizazi vyote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Naye apate kuja kama mvua juu ya nyasi zilizokatwa, kama manyuyu yanyunyizayo nchi. \v 7 Mwenye haki na astawi kwa wakati wake, na amani iwepo kwa wingi mpaka mwezi utakapotoweka.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 Na awe na mamlaka toka bahari na bahari, na kutoka Mto hadi miisho ya dunia.\v 9 Na wote waishio jangwani wainame mbele zake; adui zake na walambe mavumbi. 10 Wafalme wa Tashishi na visiwa walete kodi; wafalme wa Sheba na Seba watoe zawadi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 72
|
|
@ -426,6 +426,11 @@
|
|||
"71-17",
|
||||
"71-19",
|
||||
"71-21",
|
||||
"71-23",
|
||||
"72-title",
|
||||
"72-01",
|
||||
"72-04",
|
||||
"72-06",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue