Wed May 10 2023 10:35:51 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
e80e5ac0c2
commit
7db6513c69
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 32 Mwimbieni Mungu, enyi falme za nchi; Selah, mwimbieni sifa Yahwe. \v 33 Kwake yeye apitaye juu ya mbingu za mbingu, zilizokuwepo tangu zama za kale; tazama, yeye hupiga kelele kwa nguvu
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 34 Tangazeni kuwa Mungu ni mwenye nguvu; enzi yake iko juu ya Israeli, na nguvu zake ziko angani. \v 35 Mungu, mahali pako patakatifu panatisha; Mungu wa Israeli, yeye huwapa watu wake nguvu na uweza. Atukuzwe Mungu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 69 \v 1 Uniokoe, Mungu; maana maji yameweka uhai wangu hatarini. \v 2 Ninazama kwenye kina cha matope, pasipo na hahari pa kusimama; nimekuja kwenye kina kirefu cha maji, ambako mafuriko yananifunika.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Nimechoka sana kwa kulia kwangu; koo langu ni kavu; macho yangu yanafifia wakati namngoja Mungu wangu. \v 4 Wale wanichukiao bila sababu wako zaidi ya nywele za kichwa changu; wale ambao wangeweza kuniua, wakiwa adui zangu kwa sababu zisizo sahihi, ni wengi mno; wanalazimisha nirudishe kile ambacho sijaiba.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 69
|
|
@ -393,6 +393,11 @@
|
|||
"68-26",
|
||||
"68-28",
|
||||
"68-30",
|
||||
"68-32",
|
||||
"68-34",
|
||||
"69-title",
|
||||
"69-01",
|
||||
"69-03",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue