Sun Apr 23 2023 18:43:18 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
7caeaee287
commit
755ed3d8a4
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 2 Ninyi watu, mpaka lini mtaiaibisha heshima yangu? Mpaka lini mtaendelea kupenda kile kisicho stahili na kutafuta uongo? \v 3 Lakini mjue ya kuwa Yahwe huchagua watu wa kimungu kwa ajili yake. Nitakapo mwita Yahwe atasikia.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Tetemekeni na kuogopa, lakini msitende dhambi! Tafakarini mioyoni mwenu kwenye vitanda vyenu na muwe kimya. \v 5 Toeni matoleo ya haki na muweke imani yenu katika Yahweh.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 \v 7 \v 8 6 Wengi husema, "Ni nani atakaye tuonyesha chochote kilicho kizuri?" Yahweh, utuangazie nuru ya uso wako. 7 Umeupa moyo wangu furaha kuu kuliko wao wanapozidishiwa nafaka na divai mpaya.
|
|
@ -55,6 +55,8 @@
|
|||
"03-05",
|
||||
"03-07",
|
||||
"04-title",
|
||||
"04-01"
|
||||
"04-01",
|
||||
"04-02",
|
||||
"04-04"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue