Fri Apr 28 2023 17:51:39 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 17:51:39 +03:00
parent 4b9b8f7cd6
commit 6aa4306c9e
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Yeye hutekeleza hukumu kwa ajili ya walioonewa na huwapa chakula wenye njaa. Yahwe huwafungua waliofungwa; \v 8 Yahwe huyafungua macho ya kipofu; Yahwe huwainua walioinama; Yahwe huwapenda watu wenye haki. 9 Yahwe huwalinda wageni katika nchi; huwainua yatima na wajane, bali huipinga njia ya wasio haki. 10 Yahwe atatawala milele, Mungu wako, Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni Yahwe.
\v 7 Yeye hutekeleza hukumu kwa ajili ya walioonewa na huwapa chakula wenye njaa. Yahwe huwafungua waliofungwa; \v 8 Yahwe huyafungua macho ya kipofu; Yahwe huwainua walioinama; Yahwe huwapenda watu wenye haki.

1
146/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Yahwe huwalinda wageni katika nchi; huwainua yatima na wajane, bali huipinga njia ya wasio haki. \v 10 Yahwe atatawala milele, Mungu wako, Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni Yahwe.

1
147/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 147 \v 1 Msifuni Yahwe, kwa maana ni vyema kumwimbia sifa Mungu wetu, ni kuzuri kumsifu kwa faa sana. 2 Yahwe huijenga tena Yerusalemu, huwakusanya pamoja watu wa Israeli waliotawanyika. 3 Huponya mioyo iliyopondeka na kuganga majeraha yao. 4 Huzihesabu nyota, naye huzipa majina zote. 5 Ukuu ni wa Bwana wetu na nguvu zake ni za kutisha, ufahamu wake hauwezi kupimika. 6 Yahwe huwainua wanyonge, huwashusha chini wenye jeuri. 7 Mwimbieni Yahwe kwa shukurani, mwimbieni sifa Mungu wetu kwa kinubi. 8 Huzifunika mbingu kwa mawingu na huiandaa mvua kwa ajili ya nchi, akizifanya nyasi kukua juu ya milima. 9 Huwapa wanyama chakula na wanakunguru waliapo. 10 Hapati furaha katika nguvu ya farasi, wala hafurafii miguu imara ya mwanadamu. 11 Yahwe huridhia katika wale wanao mheshimu yeye, watumainio katika uaminifu wa agano lake. 12 Msifuni Yahwe, Yerusalemu, msifuni Mungu wenu, Sayuni. 13 Maana yeye huyakaza mapingo ya malango yako, huwabariki watoto wako kati yako. 14 Huleta mafanikio ndani ya mipaka yako, hukutosheleza kwa ngano bora. 15 Huipeleka amri yake juu ya nchi, amri zake hupiga mbio sana. 16 Huifanya theluji kama sufu, huitawanya barafu kama majivu. 17 Hutupa mvua ya mawe kama makombo, ni nani awezaye kuhimili baridi aitumayo? 18 Hutuma amri zake na kuziyeyusha, huvumisha upepo wake na hutiririsha maji. 19 Hutangaza neno lake kwa Yakobo, amri zake na hukumu zake kwa Israeli. 20 Hajafanya hivyo kwa taifa linginelo lolote, na kama ilivyo amri zake, hawazijui. Msifuni Yahwe.

1
147/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 147

View File

@ -345,6 +345,9 @@
"146-title",
"146-01",
"146-03",
"146-05"
"146-05",
"146-07",
"146-09",
"147-title"
]
}