Wed May 10 2023 17:32:00 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
65733eaa3e
commit
697a6976a9
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 134 \v 1 Njoni, mtukuzeni Yahwe, enyi nyote watumishi wa Yahwe, ninyi mnaotumika hekaluni mwa Yahwe wakati wa usiku. \v 2 Inueni mikono yenu patakatifu pake, na mtukuzeni Yahwe.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Mungu na awabariki toka Sayuni yeye aliyeziumba mbingu na nchi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 135 \v 1 Msifuni Yahwe. Lisifuni jina la Yahwe; msifuni yeye, enyi watumishi wa Yahwe. \v 2 Ninyi msimamao katika nyumba ya Yahwe, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Msifuni Yahwe; kwa kuwa ni mwema; liimbieni sifa jina lake; maana ni vizuri kufanya hivyo. \v 4 Kwa kuwa Yahwe amemchagua Yakobo kwa ajili yake mwenyewe, Israeli kama urithi wake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 135
|
|
@ -928,6 +928,11 @@
|
|||
"133-title",
|
||||
"133-01",
|
||||
"133-02",
|
||||
"134-title",
|
||||
"134-01",
|
||||
"134-03",
|
||||
"135-title",
|
||||
"135-01",
|
||||
"141-title",
|
||||
"141-01",
|
||||
"141-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue