Wed May 10 2023 17:30:00 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 17:30:01 +03:00
parent fa1e4985d7
commit 65733eaa3e
7 changed files with 11 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
15 Nitapabariki sana kwa mahitaji; nitawatosheleza maskini wake kwa mkate. 16 Nitawavisha makuhani wake kwa wokovu, waaminifu wake watashangilia kwa furaha. \v 15 Nitapabariki sana kwa mahitaji; nitawatosheleza maskini wake kwa mkate. \v 16 Nitawavisha makuhani wake kwa wokovu, waaminifu wake watashangilia kwa furaha.

1
132/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Hapo nitachipusha pembe kwa ajili ya Daudi, na kuweka taa juu kwa ajili ya mpakwa mafuta wangu. \v 18 Nitawavisha adui kwa aibu, bali juu yake taji yake itang'aa."

1
133/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 133 \v 1 Tazama, jinsi ilivyo vema na yakupendeza ndugu waishi pamoja, kwa umoja!

1
133/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Ni kama mafuta mazuri kichwani, yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, na yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake. \v 3 Ni kama umande wa Hermoni, uangukao milimani pa Sayuni; maana huko ndiko Bwana alipoamuru baraka, naam uzima milele na milele.

1
133/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 133

1
134/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 134

View File

@ -923,6 +923,11 @@
"132-09", "132-09",
"132-11", "132-11",
"132-13", "132-13",
"132-15",
"132-17",
"133-title",
"133-01",
"133-02",
"141-title", "141-title",
"141-01", "141-01",
"141-03", "141-03",