Fri Apr 28 2023 13:01:06 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 13:01:06 +03:00
parent 734dd436a0
commit 652e49654b
3 changed files with 10 additions and 2 deletions

3
101/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,3 @@
\c 101 Zaburi ya Daudi. \v 1 Nitaimba uaminifu wa agano lako na hukumu; kwako, Ee Yahwe, Nitakuimbia sifa. 2 Nitatembea katika njia ya uadilifu. Oh, ni lini utakuja kwangu? Nitatembea kwa uadilifu ndani ya nyumba yangu. 3 Sitaweka matendo maovu mbele ya macho yangu; ninachukia uovu usio na maana; hauta shikamana nami. 4 Watu waliopotoka wataniacha mimi; mimi sichangamani na uovu. 5 Nitamwangamiza yeyote amsengenyaye jirani yake kwa siri. Sitamvumilia yeyote mwenye kiburi. 6 Nitawachagua walio waaminifu katika nchi wakae upande wangu. Wale watembeao katika njia ya uhadilifu watanitumikia. 7 Watu wadanganyifu hawatabaki ndani ya nyumba yangu; waongo hawatakaribishwa mbele ya macho yangu. 8 Asubuhi hata asubuhi nitawaangamiza waovu wote kutoka nchini; nitawaondoa watendao maovu wote katika mji wa Yahwe.

1
101/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 101

View File

@ -32,6 +32,10 @@
}
],
"parent_draft": {},
"translators": [],
"finished_chunks": []
"translators": [
"nicholuskombo"
],
"finished_chunks": [
"101-title"
]
}