Wed May 10 2023 15:03:35 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
e01a8db7c0
commit
5576001ced
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 23 Lakini yeye bado aliziamuru mbingu juu na kufungua milango ya mbingu. \v 24 Aliwanyeshea mana ili wale, na aliwapa nafaka kutoka mbinguni. \v 25 Watu walikula mikate ya malaika. Aliwatumia chakula kingi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 26 Alisababisha upepo wa mashariki kupiga mawinguni, na kwa uweza wake aliuongoza upepo wa kusini. \v 27 Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, na ndege kama wingi wa mchanga wa baharini. \v 28 Walianguka katikati ya kambi yao, na maeneo yote karibu na hema zao.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 29 Hivyo walikula na walishiba. Maana aliwapa kile walichokitamani sana. \v 30 Lakini walikuwa bado hawajatosheka; chakula chao kilikuwa bado kinywani mwao.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 31 Ndipo hasira ya Mungu iliwashambulia na kuwaua wenye nguvu kati yao. Aliwaangusha chini vijana wa Israeli. 32 Licha ya hili, waliendelea kutenda dhambi na hawakuyaamini matendo yake ya ajabu.
|
|
@ -494,6 +494,10 @@
|
|||
"78-15",
|
||||
"78-17",
|
||||
"78-19",
|
||||
"78-21",
|
||||
"78-23",
|
||||
"78-26",
|
||||
"78-29",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue