Thu May 11 2023 09:18:37 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
54cad29599
commit
4c9e538893
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 19 Usiwaache maadui zangu wadanganyifu kufurahi juu yangu; usiwaache waendelee na mipango yao ya uovu. \v 20 Kwa maana hawaongei amani, bali wanabuni maneno ya uongo kwa wale wanaoishi kwa amani katika ardhi yetu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 21 Midomo yao inapaza sauti ikinishtaki; wakisema, Aha, Aha, macho yetu yameona." \v 22 Yahwe wewe umeona, usikae kimya; Bwana, usiwe mbali nami. \v 23 Inuka mwenyewe na usimame kunitetea; Mungu wangu na Bwana wangu, unitetee.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 24 Kwa sabababu ya haki yako, Yahwe Mungu wangu, unitetee; usiwaache wafurahi kwa ajili yangu. \v 25 Usiwaache waseme mioyoni mwao, "Aha, tumepata tulicho kihitaji." Usiwaache waseme, tumemmeza." \v 26 Uwaaibishe na kuwa fendhehesha wale wanaotaka kunidhuru. Wale wote wanao ni dhihaki wafunikwe kwa aibu na kudharauliwa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 27 Nao wote wanao tamani kudhihirishwa kwangu washangilie na wafurahi; siku zote waseme, "Usifiwe Yahwe, yeye ajifurahishaye katika mafanikio ya mtumishi wake.\v 28 Kisha nitatangaza matendo yako ya haki na kukusifu wewe wakati wote.
|
|
@ -307,6 +307,10 @@
|
|||
"35-11",
|
||||
"35-13",
|
||||
"35-15",
|
||||
"35-17",
|
||||
"35-19",
|
||||
"35-21",
|
||||
"35-24",
|
||||
"41-title",
|
||||
"41-01",
|
||||
"41-04",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue