Fri Apr 28 2023 15:17:29 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
e8006977ca
commit
4b0d8e5957
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 61 Kamba za waovu zimenifunga; nami sijaisahau sheria yako. \v 62 Katikati ya usiku ninaamka kukushukuru wewe kwa sababu ya amri za haki yako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 63 Ninaurafiki na wale wanao kuabudu wewe, wale wote watiio maagizo yako. \v 64 Yahwe, nchi, imejaa uaminifu wa agano lako; unifundishe sheria zako. TETH.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 65 Wewe umemtendea mema mtumishi wako, Yahwe, sawasawa na neno lako. \v 66 Unifundishe utambuzi sahihi na uelewa, kwa kuwa nimeamini katika amri zako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 67 Kabla sijateswa nilipotea, lakini sasa nimelitii neno lako. \v 68 Wewe ni mwema, na ndiye yule utendaye mema; unifundishe sheria zako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 69 Wenye kiburi wamenichafua kwa uongo, lakini niliyashika maagizo yako kwa moyo wangu wote. \v 70 Mioyo yao ni migumu, lakini ninafurahia katika sheria yako. 71 Ni vizuri kwangu kuwa nimeteseka ili niweze kujifunza sheria zako.65 Wewe umemtendea mema mtumishi wako, Yahwe, sawasawa na neno lako. 66 Unifundishe utambuzi sahihi na uelewa, kwa kuwa nimeamini katika amri zako. 67 Kabla sijateswa nilipotea, lakini sasa nimelitii neno lako. 68 Wewe ni mwema, na ndiye yule utendaye mema; unifundishe sheria zako. 69 Wenye kiburi wamenichafua kwa uongo, lakini niliyashika maagizo yako kwa moyo wangu wote. 70 Mioyo yao ni migumu, lakini ninafurahia katika sheria yako. 71 Ni vizuri kwangu kuwa nimeteseka ili niweze kujifunza sheria zako.
|
|
@ -150,6 +150,10 @@
|
|||
"119-55",
|
||||
"119-57",
|
||||
"119-59",
|
||||
"119-61",
|
||||
"119-63",
|
||||
"119-65",
|
||||
"119-67",
|
||||
"120-title",
|
||||
"120-01",
|
||||
"120-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue