Tue May 09 2023 21:40:47 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
b0d0da09f1
commit
428f7b01f9
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 Mavazi yako yote hunukia manemane, udi, na mdalasini; kutoka katika majumba ya pembe vyombo vya muziki wa nyuzi vimekufurahisha. \v 9 Binti za wafalme ni kati ya wake zako waheshimiwa; na mkono wako wa kuume amesimama malkia aliye vaa mavazi ya dhahabu ya Ofiri.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 10 Sikiliza, mwanangu, tafakari na utege sikio lako; uwasahau watu wako na watu wa nyumba ya baba yako. \v 11 Hivyo mfalme atautamani uzuri wako; yeye ni Bwana wako; umstahi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 12 Binti wa Tiro atakuwepo akiwa na zawadi; matajiri kati wa watu watajipendekeza kwako. \v 13 Binti mfalme katika jumba la kifahari ana utukufu wote; mavazi yake yametengenezwa kwa dhahabu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 14 Naye ataongozwa kwa mfalme akiwa katika mavazi ya dhahabu; mabikira, wenzake wanoumfuata, wataletwa kwako mafalme. \v 15 Wao wataongozwa kwa furaha na shangwe; wataingia mahali pa mfalme.
|
|
@ -214,6 +214,10 @@
|
|||
"45-title",
|
||||
"45-01",
|
||||
"45-03",
|
||||
"45-05"
|
||||
"45-05",
|
||||
"45-08",
|
||||
"45-10",
|
||||
"45-12",
|
||||
"45-14"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue