From 41e9bcc748921c40ef18e1de8ff0b356e37bc6b1 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Fri, 28 Apr 2023 17:43:39 +0300 Subject: [PATCH] Fri Apr 28 2023 17:43:39 GMT+0300 (East Africa Time) --- 145/08.txt | 2 +- 145/10.txt | 1 + 145/13.txt | 1 + manifest.json | 5 ++++- 4 files changed, 7 insertions(+), 2 deletions(-) create mode 100644 145/10.txt create mode 100644 145/13.txt diff --git a/145/08.txt b/145/08.txt index 20501ab..b48ad42 100644 --- a/145/08.txt +++ b/145/08.txt @@ -1 +1 @@ -\v 8 Yahwe ni wa neema na huruma, si mwepesi wa hasira na mwingi katika uaminifu wa agano lake. \v 9 Yahwe ni mwema kwa wote; huruma zake zi juu ya kazi zake zote. 10 Vyote ulivyo viumba vitakushukuru wewe, Yahwe; waaminifu wako watakutukuza wewe. 11 Waaminifu wako watanena juu ya utukufu wa ufalme wako, na watahubiri juu ya nguvu zako. 12 Watayafanya matendo makuu ya Mungu yajulikane na wanadamu na utukufu wa fahari ya ufalme wake. 13 Ufalme wako ni wa milele, na mamlaka yako ya dumu kizazi hata kizazi. 14 Yahwe huwategemeza wote waangukao na huwainua wote walioinama chini. 15 Macho ya wote yanakungoja wewe; nawe huwapa chakula chao kwa wakati sahihi. 16 Huufungua mkono wako na hukidhi haja ya kila kiumbe hai. 17 Yahwe ni mwenye haki katika njia zake zote na neema katika yote afanyayo. 18 Yahwe yu karibu na wote wamwitao, wale wamwitao yeye katika uaminifu. 19 Hutimiza haja za wale wanao mheshimu yeye; husikia kilio chao na kuwaokoa. 20 Yahwe huwalinda wale wampendao, lakini atawaangamiza waovu wote. 21 Kinywa changu kitazinena sifa za Yahwe; wanadamu wote na walitukuze jina lake takatifu milele na milele. \ No newline at end of file +\v 8 Yahwe ni wa neema na huruma, si mwepesi wa hasira na mwingi katika uaminifu wa agano lake. \v 9 Yahwe ni mwema kwa wote; huruma zake zi juu ya kazi zake zote. \ No newline at end of file diff --git a/145/10.txt b/145/10.txt new file mode 100644 index 0000000..d036108 --- /dev/null +++ b/145/10.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 10 Vyote ulivyo viumba vitakushukuru wewe, Yahwe; waaminifu wako watakutukuza wewe. \v 11 Waaminifu wako watanena juu ya utukufu wa ufalme wako, na watahubiri juu ya nguvu zako. \v 12 Watayafanya matendo makuu ya Mungu yajulikane na wanadamu na utukufu wa fahari ya ufalme wake. \ No newline at end of file diff --git a/145/13.txt b/145/13.txt new file mode 100644 index 0000000..e262bac --- /dev/null +++ b/145/13.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 13 Ufalme wako ni wa milele, na mamlaka yako ya dumu kizazi hata kizazi. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 66084aa..321f178 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -335,6 +335,9 @@ "145-title", "145-01", "145-04", - "145-06" + "145-06", + "145-08", + "145-10", + "145-13" ] } \ No newline at end of file