Sun Apr 23 2023 18:57:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-04-23 18:57:22 +03:00
parent 9231a1b81f
commit 41ab9738ac
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
6 Inuka, Yahwe, katika hasira yako; simama kinyume na hasira kali ya adui zangu; amka kwa ajili yangu na ubebe amri zako ambazo wewe umeamuru kwa ajili yao. 7 Mataifa yote yamekuzunguka; uwatawale kutoka mbinguni.
\v 6 Inuka, Yahwe, katika hasira yako; simama kinyume na hasira kali ya adui zangu; amka kwa ajili yangu na ubebe amri zako ambazo wewe umeamuru kwa ajili yao. \v 7 Mataifa yote yamekuzunguka; uwatawale kutoka mbinguni.

1
07/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Yahwe, uwahukumu mataifa; uwaonyeshe kuwa sina hatia, Yahweh, kwa sababu mimi ni mwenye haki na sina hatia, Ewe uliye juu. \v 9 Matendo ya waovu na yafike mwisho, bali uanzishe watu wenye haki, Mungu mwenye haki, wewe ambaye unapima mioyo na fahamu.

1
07/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Ngao yangu inatoka kwa Mungu, yule anaye okoa moyo wa mwenye haki. \v 11 Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu anaye chukizwa na waovu kila siku.

View File

@ -73,6 +73,9 @@
"07-title",
"07-01",
"07-03",
"07-05"
"07-05",
"07-06",
"07-08",
"07-10"
]
}