Fri Apr 28 2023 13:27:08 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
dc235218c7
commit
39b8e69036
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 12 \v 10 Yeye alifanya chemchemi kutiririsha maji mabondeni; mito kutiririka katikati ya milima. \v 11 Inasambaza maji kwa ajili ya wanyama wote wa shambani; punda wa porini hukata kiu yao.
|
||||
\v 10 Yeye alifanya chemchemi kutiririsha maji mabondeni; mito kutiririka katikati ya milima. \v 11 Inasambaza maji kwa ajili ya wanyama wote wa shambani; punda wa porini hukata kiu yao. \v 12 Kandokando ya mito ndege hujenga viota vyao; huimba kati ya matawi. 13 Humwagilia milima kutoka katika chumba chake cha maji mawinguni. Nchi imejazwa kwa matunda ya kazi yake. 14 Huzifanya nyasi kukua kwa ajili ya mifugo na mimea kwa ajili ya binadamu kulima ili kwamba mwanadamu aweze kuzalisha chakula toka nchini. 15 Hutengeneza mvinyo kumfurahisha mwanadamu, mafuta yakumfanya uso wake ung'ae, na chakula kwa ajili ya kuimarisha uhai wake. 16 Miti ya Yahwe hupata mvua nyingi; Mierezi ya Lebanoni aliyoipanda. 17 Hapo ndege hutengeneza viota vyao. Na korongo, misunobari ni nyuma yake. 18 Mbuzi mwitu huishi kwenye milima mrefu; na urefu wa milima ni kimilio la wibari. 19 Aliuchagua mwezi kuweka alama ya majira; jua latambua kuchwa kwake. 20 Wewe hufanya giza la usiku ambapo wanyama wote wa msituni hutoka nje. 21 Wana simba huunguruma kwa ajili ya mawindo na hutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu. 22 Jua linapochomoza, huenda zao na kujilaza mapangoni mwao. 23 Wakati huo huo, watu hutoka nje kuelekea kazi zao na utumishi wake mpaka jioni. 24 Yahwe, ni jinsi gani kazi zako zilivyo nyingi na za aina mbalimbali! Kwa hekima ulizifanya zote; nchi inafurika kwa kazi zako.
|
Loading…
Reference in New Issue