Wed May 10 2023 04:11:27 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 04:11:28 +03:00
parent 58da005733
commit 35d7dc8f40
6 changed files with 11 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Kwa wale wanao kuheshimu wewe, wewe umeweka bendera ionekane dhidi ya wale wabebao upinde. Sela\v 5 Ili kwamba wale uwapendao waweze kuokolewa, utuokoe sisi kwa mkono wako wa kuume na unijibu.
\v 4 Kwa wale wanao kuheshimu wewe, wewe umeweka bendera ionekane dhidi ya wale wabebao upinde. Sela \v 5 Ili kwamba wale uwapendao waweze kuokolewa, utuokoe sisi kwa mkono wako wa kuume na unijibu.

1
60/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Mungu ameongea katika utakatifu wake, "Nitashangilia; nitaigawanya Shekemu na kuligawa bonde la Sukothi. \v 7 Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu na Efraimu pia ni kofia yangu ya chuma; Yuda ni fimbo yangu ya kifalme.

1
60/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Moabu ni bakuli langu la kunawia; juu ya Edomu nitatupa kiatu changu; nitapiga kelele za ushindi kwa sababu ya Filisti." \v 9 Ni nani atakaye nileta kwenye mji imara? Ni nani ataniongoza kwenda Edomu?

1
60/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Lakini wewe, Mungu, je, haukutukataa? Wewe hauendi vitani pamoja na jeshi letu. \v 11 Utusaidie dhidi ya adui yetu, maana msaada wa mwanadamu ni bure. \v 12 Kwa msaada wa Mungu tutashinda; yeye atawakanyaga chini adui zetu.

1
61/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 61

View File

@ -327,6 +327,11 @@
"59-16",
"60-title",
"60-01",
"60-02"
"60-02",
"60-04",
"60-06",
"60-08",
"60-10",
"61-title"
]
}