Tue May 09 2023 17:10:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-09 17:10:33 +03:00
parent 9f3003bb78
commit 222a611645
5 changed files with 10 additions and 1 deletions

1
42/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 42 \v 1 Kama ayala ayatamanivyo maji ya mto. ndivyo hivyo nina kiu yako, Mungu. \v 2 Nina kiu yako Mungu, Mungu uliye hai, ni lini nitaonekana mbele zako?

1
42/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Machozi yangu yamekuwa ni chakula changu mchana na usiku, wakati maadui zangu siku zote wanasema, "Yuko wapi Mungu wako?" \v 4 Mambo haya ninayakumbuka ninapoimimina nafsi yangu: nilipoenda na umati wa watu na kuwaongoza kwenye nyumba ya Mungu kwa sauti ya shangwe na kusifu, ni wengi tulisherehekea.

1
42/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Nafsi yangu, kwa nini unainama? Kwa nini una huzuni ndani yangu? Mtumaini Mungu, Kwa kuwa kwa mara nyingine nitamsifu yeye ambaye ni wokovu wangu. \v 6 Mungu wangu, nafsi yangu imeinama ndani yangu, kwa hiyo ninakukumbuka toka nchi ya Yordani, toka kwenye vilele vitatu vya mlima Hermoni, na toka mlima wa Mizari.

1
42/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Kina huita kina kwenye kelele za maporomoko ya maji yako; mawimbi na mafuriko yako yote yako juu yangu. \v 8 Wakati wa mchana Yahweh ataamuru uaminifu wa agano lake; na usiku wimbo wake utakuwa nami, ombi kwa Mungu wa uhai wangu.

View File

@ -188,6 +188,11 @@
"41-04",
"41-07",
"41-10",
"41-13"
"41-13",
"42-title",
"42-01",
"42-03",
"42-05",
"42-07"
]
}