Wed May 10 2023 16:55:57 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
7152277a13
commit
1555d55007
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 98 \v 1 Ee, mwimbieni Yahwe wimbo mpya, kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu; mkono wake wa kuume na mkono wake mtakatifu vimempa ushindi. \v 2 Yahwe ameufanya wokovu wake ujulikane; ameidhihirisha haki yake kwa mataifa yote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Hukumbuka uaminifu wa agano lake na uaminifu kwa ajili ya nyumba ya Israeli; miisho yote ya dunia itauona ushindi wa Mungu wetu. \v 4 Mshangilieni Yahwe, nchi yote; pazeni sauti kwa wimbo, imbeni kwa furaha, na imbeni sifa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Mwimbieni Yahwe sifa kwa kinubi; kwa kinubi, na wimbo wenye muziki wa kupendeza. \v 6 Kwa tarumbeta na sauti ya baragumu, fanyeni kelele za shangwe mbele ya Mfalme, Yahwe.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Bahari na ipige kelele, na vyote vilivyomo; ulimwengu, na wale wakaao ndani yake! \v 8 Mito na ipige makofi; na milima ipige kelele kwa furaha \v 9 Mbele za Yahwe; kwa kuwa anakuja kuihukumu nchi; naye ataihukumu dunia kwa haki na mataifa kwa adili.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 99
|
|
@ -675,6 +675,10 @@
|
|||
"97-09",
|
||||
"97-12",
|
||||
"98-title",
|
||||
"98-01",
|
||||
"98-03",
|
||||
"98-05",
|
||||
"98-07",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue