Fri Apr 28 2023 13:49:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 13:49:10 +03:00
parent d0878b821a
commit 145ecadef4
4 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 \v 20 Mfalme alituma watumishi kumfungua; mtawala wa watu alimuweka huru. \v 21 Alimuweka kuwa msimamizi wa nyumba yake kama mtawala wa mali zake zote \v 22 kuwaelekeza wakuu kama alivyopenda na kuwafundisha viongozi wake hekima. Kisha Israeli iliingia Misri, na Yakobo aliishi kwa muda katika nchi ya Hamu.
\v 20 Mfalme alituma watumishi kumfungua; mtawala wa watu alimuweka huru. \v 21 Alimuweka kuwa msimamizi wa nyumba yake kama mtawala wa mali zake zote \v 22 kuwaelekeza wakuu kama alivyopenda na kuwafundisha viongozi wake hekima. \v 23 Kisha Israeli iliingia Misri, na Yakobo aliishi kwa muda katika nchi ya Hamu.

1
105/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Yahwe aliwajalia watu wake wazae sana, na aliwafanya wenye nguvu kuliko adui zao. \v 25 Alisababisha adui zao wawachukie watu wake, na kuwatendea visivyo watumishi wake. \v 26 Alimtuma Musa, mtumishi wake, na Haruni, ambaye alikwisha mchagua. \v 27 Walifanya ishara zake kati ya Wamisri na maajabu yake katika ya nchi ya Hamu.

3
105/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,3 @@
\v 28 Alituma giza na likaifanya nchi hiyo kuwa giza, lakini watu wake hawakutii amri zake.\v 29 Aligeuza maji kuwa damu na aliua samaki wao. \v 30 Nchi yao ilijaa vyura, hata katika vyumba vya watawala wao. 31 Alisema, na makundi ya inzi na chawa wakaja mjini mwote. 32 Aliigeuza mvua yao kuwa mvua ya mawe, pamoja na miali ya moto juu ya ardhi yao. 33 Aliiharibu mizabibu yao na mitini yao; akaivunja miti ya mji wao. 34 Alisema, na nzige wakaja, nzige wengi sana. 35 Nzige walikula mboga zao zote za majani katika nchi yao. Walikula mazao yote ardhini. 36 Aliua kila mzaliwa wa kwanza katika nchi yao, malimbuko ya nguvu zao. 37 Aliwatoa nje Waisraeli wakiwa na fedha na dhahabu; hakuna mmoja wa kabila lake aliyejikwaa njiani. 38 Misri ilifurahi walipoondoka, maana Wamisri waliwaogopa. 39 Alitandaza wingu liwafunike na alifanya moto uwaangazie wakati wa usiku. 40 Waisraeli waliomba chakula, naye aliwaletea kware na aliwatosheleza kwa mkate kutoka mbiguni. 41 Aliugawa mwamba, maji yalimwagika kutoka humo; yalitiririka katika jangwa kama mto. 42 Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu aliyoifanya kwa Ibrahimu mtumishi wake. 43 Aliwaongoza watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za ushindi. 44 Aliwapa nchi za mataifa; walichukua milki ya mali za watu 45 ili waweze kushika amri zake na kutii sheria zake. Msifuni Yahwe.

View File

@ -89,6 +89,8 @@
"105-12",
"105-14",
"105-16",
"105-18"
"105-18",
"105-20",
"105-24"
]
}