Fri Apr 28 2023 14:37:21 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 14:37:21 +03:00
parent d1585b19ee
commit 0d9b51a9cd
4 changed files with 7 additions and 6 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
\c 120 Wimbo wa kwenda hekaluni kuabudu. \v 1 Katika dhiki yangu nilimuita Yahwe, naye akanijibu. \v 2 Uiokoe nasfi yangu, yahwe, dhidi ya wale wadanganyao kwa midomo yao na wanenao hila kwa ndimi zao. 3 Yahwe atawaadhibu vipi, na atawafanyia kitu gani zaidi, ninyi mlio na ulimi mdanganyifu? 4 Atawaadhibu kwa mishale ya shujaa iliyo nolewa kwa makaa ya moto ya mretemu. 5 Ole wangu mimi kwa sababu ninaishi kwa muda Mesheki; huko nyuma niliishi kati ya maskani ya Kedari. 6 Kwa muda mrefu sana niliisha na wale waichukiao amani. 7 Nipo kwa ajili ya amani, lakini ninenapo, wao wako kwa ajili ya vita.
\c 120 Wimbo wa kwenda hekaluni kuabudu. \v 1 Katika dhiki yangu nilimuita Yahwe, naye akanijibu. \v 2 Uiokoe nasfi yangu, yahwe, dhidi ya wale wadanganyao kwa midomo yao na wanenao hila kwa ndimi zao.

1
120/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Yahwe atawaadhibu vipi, na atawafanyia kitu gani zaidi, ninyi mlio na ulimi mdanganyifu? \v 4 Atawaadhibu kwa mishale ya shujaa iliyo nolewa kwa makaa ya moto ya mretemu.

1
120/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Ole wangu mimi kwa sababu ninaishi kwa muda Mesheki; huko nyuma niliishi kati ya maskani ya Kedari. \v 6 Kwa muda mrefu sana niliisha na wale waichukiao amani. \v 7 Nipo kwa ajili ya amani, lakini ninenapo, wao wako kwa ajili ya vita.

View File

@ -119,6 +119,9 @@
"106-44",
"106-47",
"107-title",
"120-title"
"120-title",
"120-01",
"120-03",
"120-05"
]
}