Wed May 10 2023 09:18:12 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
d5569bf6fb
commit
0a155637eb
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 145 \v 1 Nitakutukuza wewe, Mungu wangu, Mfalme; nitalihimidi jina lako milele na milele. \v 2 Kila siku nitakuhimidi; nitalisifu jina lako milele na milele. \v 3 Yahwe ndiye mkuu na wakusifiwa sana; ukuu wake hauchunguziki.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Kizazi kimoja kitayasifu matendo yako kwa kizazi kijacho na kitatangaza matendo yako makuu. \v 5 Nitaitafakari fahari ya utukufu wa adhama yako na matendo yako ya ajabu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Watanena juu ya nguvu ya kazi zako za kutisha, nami nitatangaza ukuu wako. \v 7 Nao watatangaza wingi wa wema wako, na wataimba kuhusu haki yako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 Yahwe ni wa neema na huruma, si mwepesi wa hasira na mwingi katika uaminifu wa agano lake. \v 9 Yahwe ni mwema kwa wote; huruma zake zi juu ya kazi zake zote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 145
|
|
@ -541,6 +541,11 @@
|
|||
"144-07",
|
||||
"144-09",
|
||||
"144-12",
|
||||
"144-14"
|
||||
"144-14",
|
||||
"145-title",
|
||||
"145-01",
|
||||
"145-04",
|
||||
"145-06",
|
||||
"145-08"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue